Social Icons

Friday, August 29, 2014

Ndoa Talaka Eda

Hii ni Mobile application ambayo imetokana na Kitabu mashuhuri cha ndoa. Kitabu hiki kimetokana na khutba aliyoitoa Sheikh Nurdin Kishki katika mskiti wa
Ihsaan vetenari, Tanzania tarehe 01/05/2009. kutokana na umuhimu wa khutba hii
kwa waislamu, Nyehunge It Support waliamua kuikusanya khutba hiyo kutoka katika
kitabu kilichoandikwa na Saimu Gwao pamoja na Ukhti Fatma J ili kiwe na manufaa
kwa wasomaji. Endapo kutatokea makosa yoyote ya kimaandishi au ya kumnukuu
sheikh Nurdin Kishki vibaya, ieleweke kua hayo ni makosa ya kibinadamu ya
waandaaji.


No comments: