UBAO WA KIISLAM
Ni mobile application ambayo inahusiana na mafunzo ya dini ya kiislam, jifunze Fiqh, Hadith, na mengine mengi kupitia ubao wa kiislam, kwa sasa program hii hatujaiweka katika mobile store yoyote but soon In shaa Allah itapatikana katika Google Play, ina support simu za android na windows mobile, HII PROGRAM NI FREE!! ili kuipata wasiliana nasi, you can also DONATE if you wish to let us build what you desire, thanks
Mauzo.NET Version 1.5.2 will be released soon! most of system features has been modified also Software Bugs has been removed, see the image below. Your comments made the developer to deliver your demand..